Wednesday, May 5, 2010

Magazeti ya Zanzibar


Wafanyakazi wa Government Press 1950

Office Gazet, Marifa, Madhukari, Mkombozi, Mwiba, Mwangaza, Mkulima, Nyuki, Ruta + Ruta, Afrika Kwetu, Adal Insaf, Agope, Agoze, Alfalak, Alnahadha, Altarika, Habari za Wiki, Jamhuri, Jasho letu, Kibaruwa, King George, The VISCH . M, Kipanga, Samachar, Daily Commercial Report, British Imformation Serv, Normal Magazine, Mazungumzo ya walimu n.k.

1 comment:

  1. Huyu ndege mwenye baraka na neema kesharuka tumebaki na chuki kutoka kwa wahadimu choyo, waroho, wasio na huruma kwa kujaza matumbo yao tu.
    Tizama picha hii ina watu wa kila kabila, rangi na dini, leo wafitinishaji wanatuambia eti kulikuwa na ubaguzi. Wabuguzi ni wao makhabithi wakubwa kuleta chuki na kutoelewana baina yetu wenyewe kwa wenyewe, nasi tumekubali kutengwa kwa kupewa kipande kidogo cha ulwa wakati uongozi wote ni wetu wazanzibari.

    ReplyDelete