Ndege ya Zanzibar vitani 1916
Wazanzibari hawana moyo wa juu juu [si mabakhili] walichangia pesa nyingi mnamo mwenzi wa Agust 1916 walichangia pesa hizo
zilizotengenezwa ndege nyingi za kusaidia vita kuu
ya kwanza vilivyoanza 1914, ndege hizo Zote zilikuwa na majina ya Zanzibar moja ikiitwa Unguja nyengine ikiitwa Pemba na Zanzibar13 n.k. waliamua kufanya hivyo ili kumsaidia Muingereza, na walichanga pesa nyengine nyingi kusaidia msalaba mwekundu hasa kwa watu walioathirika [majeruhi wa vita].
No comments:
Post a Comment